• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
we unajua una kibamia mbizi za nini || GetValue Inc

WE, UNAJUA UNA KIBAMIA MBIZI ZA NINI?

WE, UNAJUA UNA KIBAMIA MBIZI ZA NINI?


Kibamia! kibamia! Ni miongoni mwa misemo ambayo imepata umaarufu sana kibongobongo!
Msemo ambao umekuwa kama ukidhalilisha baadhi ya jinsia ya kiume kwa watu wenye maumbile madogo.
Leo  kwenye mada ya MAHABA nitazungumza na wanaume ambao wana maumbile madogo aka kibamia. Ni kweli kabisa kuna wanaume ambao wana vibamia, lakini kuwa na kibamia siyo ugonjwa, si gonjwa sugu au donda ndugu bali kuwa na kibamia au umbile dogo hutokana au hutegemeana na umbile la mtu, ugonjwa sugu au hisi za kwamba una umbile dogo.
Baadhi ya wanaume kutokana na kuitwa au kutamkwa tamkwa kwa neno kibamia imewafanya wajidharau, wajione kama hawajakamilika, wana mkosi na hisia nyingine nyingi zenye kuwadidimiza kihisia.
Shoga leo nataka kumfundisha bwana ako ambaye ana kibamia namna ya kukitumia mnapokuwa faragha.
Kwanza mwanaume ambaye unahisi una kibamia huna haja ya kulazimisha kupiga mbili kwenye maji mengi Mara kwa Mara. Kwa nini unalazimiaha kupiga mbizi kwenye kila kirefu ili iweje?. Ukizidiwa ukafa si ndo kuabika huko jamani!?.
Kwa kibamia chako Basi ogelea pembezoni mwa mto, ziwa au habari, wewe zako komalia ufukweni tu mara moja moja ndiyo unajitosa kwenye kina kirefu kwa kupiga piga miguu huku ukichezesha mikono ukiona maji tanataka kukuzidi unarudi zako, ufukweni.
Jaribu leo zoezi hili la kuogelea ufukweni kwa ufundi wako wote, UKIZIGONGA ZILIVYO KUTA ZA BAHARI KWA KWENDA PEMBENI KAMA UNATOKA NCHI KAVU, KISHA UNARUDI KWENYE MAJI, KAMA UNAENDA KINA KIREFU HALAFU UTANIPA MAJIBU.
Ndugu yangu usilazimishe kuoga kila kirefu ndiyo kutakata, WANAUME WENZIYO WENYE KIBAMIA KAMA CHAKO, WANAOGA FUKWENI, WANATAKANA NA KUWARIDHISHA WAPENZI AU WAKE ZAO.
Babu eeeh! Kuoga ufundi asikwambie MTU si suala tu la KUPIGA MBIZI KINA KIREFU ILA UJUE UNAPIGAJE MBIZI! Usifikilie kama mwanzo mwisho uking'ang'ania  kupiga mbizi kina kirefu basi utakuwa muogeleaje mzuri.
Acha kujishtukia wewe ukifika majini  tia NANGA yako, anza kutupa kazi lako, kulia, kushoto, chini na juu kidogo, uone kama utamvusha MPENZI WAKO, ukishindwa KUMVUSHA, Oooooh! UTAVUSHIWA SHAURI YAKO!
Shosti kama mumeo ana kibamia usimdharau wala usije ukamtukana kwa kigezo cha kuwa na kibamia, huyo ndiyo mumeo, mlishachaguana basi mzungumze ili kuboresha PENZI lenu.
Sema tatizi lenu wanaume ni UBABE NA UJEURI KITANDANI NDIYI MAANA MNAKOSA VINGI...!
Mkeo akikuambia jambo fulani unapaniki! unamuona kama kicheche, unamuna Mtoto wa watu kawa malaya. Tuliza akili upewe mambo. Unayoambiwa uyafanyie kazi, hata kama ni kicheche au Malaya, UMALAYA WAKE SI WA KUFANYA BALI KAONA KWENYE SINEMA, KASIKIA KWA MASHOGA ZAKE N.K.
Usijidharau hata kama kweli una kibamia, jifunze kukitumia hicho hicho kibamia chako, unaweza kuibuka mshindi kwa kila mechi uchezayo na MPENZI AU MKEO.
Kwa Ushauri wowote kuhusu UHUSIANO, UJASIRIAMALI na KIPAJI CHAKO. Jiunge na Mi&U WhatsApp +255679979785. Tu-follow Insta @mimi_na_uhusiano Twitter: Mimi na Uhusiano Like Facebook Page: Mimi na Uhusiano au jiunge Group la Facebook

Ratings: (0) Leave a Comment

You must login to post your comment.

Post Posting...