• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Badilika Jiamini Ili Ufanikiwe - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

BADILIKA, JIAMINI ILI UFANIKIWE

Ratings

Price:
2,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Aug 30, 2021
In category:
Sample

MAMBO KUMI AMBAYO NI MUHIMU KUYAJUA ILI KUPATA MAFANIKIO KATIKA KAZI YA AJIRA NA UJASIRIAMALI

BADILIKA JIAMINI ILI UFANIKIWE. 

MAFANIKIO YAKO MAPYA YANATEGEMEA UBORA WAKO KWA UJUMLA. KITABU HIKI KITAKUELEZA UMUHIMU WA KUKUBALI MABADILIKO.

KWA KWELI HAUWEZI KUFANYA KITU KIPYA KAMA WEWE NI WA ZAMANI. KAMA TABIA ZAKO NI ZILE ZILE ZILIZOSABABISHA UKAWA MASKINI BADO NDIYO ZINATAWALA MAISHA YAKO BASI SAHAU KUBADILISHA  MAISHA, KWAHIYO KITABU HIKI KITAKUFUNULIA MAMBO YA MSINGI ILI UFANYE MABADILIKO CHANYA.

NAAMINI  KITABU HIKI NI NYENZO BORA KABISA KWA MAENDELEO YAKO KITAKUTENGENEZEA MSINGI IMARA WA KUANZIA.

KUBADILIKA NDIYO NJIA PEKEE YA KUKUBADILISHA MAISHA KUWA YA KIWANGO CHA JUU UNACHOKITAMANI.

Other products from this category