Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Chochea Kipaji Chako - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

CHOCHEA KIPAJI CHAKO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 16, 2020
Product Views:
4,428
In category:
Sample

Kitabu hiki ni nyenzo muhimu kwa mtu mwenye kipaji. Zipo kanuni na mbinu muhimu za kumsaidia kila mwenye kipaji kufanya vizuri sokoni. Pesa hufuata harufu ya ubora. Ukifanya kwa ubora kwenye kipaji chako lazima watu wanaofaidi kipaji chako wakulipe vizuri. Tatizo ni kwamba ubora hauji kimiujiza, bali ni matokeo ya kutumia kanuni sahihi na mbinu zilizo bora. Basi, kitabu hiki ni lazima kwako kukisoma ili ufaidike na maarifa yaliyo ndani yake.

Kitabu hiki\r\nni nyenzo muhimu kwa mtu mwenye kipaji. Zipo kanuni na mbinu muhimu za\r\nkumsaidia kila mwenye kipaji kufanya vizuri sokoni. Pesa hufuata harufu ya\r\nubora. Ukifanya kwa ubora kwenye kipaji chako lazima watu wanaofaidi kipaji\r\nchako wakulipe vizuri. Tatizo ni kwamba ubora hauji kimiujiza, bali ni matokeo\r\nya kutumia kanuni sahihi na mbinu zilizo bora. Basi, kitabu hiki ni lazima\r\nkwako kukisoma ili ufaidike na maarifa yaliyo ndani yake.

Mara nyingi\r\nwanaobaki kwenye ushindani na kuendelea kufanya vizuri ni wale wanaopata mbinu\r\nmpya katika maeneo ya vipaji vyao. Ndani ya kitabu hiki zimeelezwa njia za 4\r\nkugundua kipaji chako na haijaishia hapo, Pia kuna mbinu za kuchochea kipaji\r\nchako baada ya kukigundua. Mbinu 5 muhimu zilizoelezwa ni;

<!--[if !supportLists]-->·        \r\n<!--[endif]-->Badili chanzo chako cha taarifa

<!--[if !supportLists]-->·        \r\n<!--[endif]-->Badili watu unaombatana nao

<!--[if !supportLists]-->·        \r\n<!--[endif]-->Ongeza maarifa/ujuzi

<!--[if !supportLists]-->·        \r\n<!--[endif]-->Jiandae nyuma ya pazia

<!--[if !supportLists]-->·        \r\n<!--[endif]-->Maombi

\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n\r\n

Usiache\r\nkutumia kipaji chako. Usiache kuchochea kipaji chako. Jambo la muhimu zaidi,\r\nkipaji chako kisikutoe kwa Mungu. Unaposoma kitabu hiki utagundua kwamba,\r\nmwandishi anaweka mkazo, kuchochea kipaji chako huku uhusiano wako na Mungu\r\nukiimarika zaidi. 

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

10,000 Tsh.
(0.8)

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold