• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Chuma Tunda Ulipendalo - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Chuma Tunda Ulipendalo

Ratings

Price:
10,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Oct 05, 2020
In category:
Sample

Linapokuja suala la kufanya maamuzi Sahihi na kuchukua hatua mpya kwenye maisha ya. Mtu mmoja mmoja, watu wengi tumekuwa tu nakwama. Wakati mwingine ni mambo madogo tu lakini kutokana na ukweli kwamba kuna mitazamo mbalimbali tunalishwa bila kutambua kuwa ni matunda sumu ama la. Tunatembea nayo na kujipata tukikosa kusonga mbele kwa sababu ya mitazamo iliyojengeka ndani yetu. Yako matunda mengi sana kwenye maisha ambayo ni bora na yanaweza kurutubisha Ufahamu wako kiasi cha kukuletea mabadiliko chanya na yenye tija kwenye maisha yako. Nimekuandalia matunda kadhaa hapa, nikukaribishe tuweze kushiriki pamoja na tupige hatua pamoja.

Sample text

Other products from this category