• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Fatinah - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Fatinah

Ratings

Price:
6,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jun 18, 2021
In category:
Sample

Kama Kuna Njia Ya kuingia, Kuna Njia Ya Kutokea!

Kutana na maharamia wa  genge la MasterKey, vijana wasomi wasio na ajira ambao wameamua kuunda umoja wa siri ili kujipatia riziki kihalifu kupitia Taaluma Zao. Sasa Fatinah ni nani? Amemfanya nini Almasi? Nani anahusiana na nani ili kitokee nini? Almasi anajinasua vipi na patashika hili? Haya ni maswali machache yanayokwenda kupatiwa ufumbuzi na mtunzi wako  katika mfululizo huu wa simulizi iliyojaa dhiki, faraja, maanguko na ushindi mwembamba.

Ungana na Nguli wa simulizi Gwamaka Mwamasage 'Maestro' akikupitisha katika safari ya maisha ya kijana Almas iliyojaa machozi, jasho na damu.

Other products from this category