• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Fumbo La Pesa Na Mali Zenye Furaha: Siri Zinazowafanya Baadhi Ya Watu Kufurahia Pesa Na Mali Huku Wengine Wakilia Na Kujuta - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Fumbo La Pesa Na Mali Zenye Furaha: SIRI Zinazowafanya Baadhi Ya Watu Kufurahia Pesa Na Mali, Huku Wengine Wakilia Na Kujuta

Ratings

Price:
20,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Nov 27, 2020
In category:
Sample

Zijue SIRI zinazowafanya baadhi ya Watu kufurahia Pesa na Mali, huku wengine wakilia na kujuta

"Nikusihi usome kitabu hiki kwa kina, ujifunze mambo ya msingi yaliyojificha nyuma ya utafutaji wa pesa na mali, kisha uyaweke kwenye maisha yako. Kwa kuijua misingi hii, utaweza kuondoka kwenye mtego wa pesa, utakuwa tulivu iwe una pesa au huna pesa, kwa sababu unaijua misingi sahihi.

"Moja wa watu ambao Lackson amewatumia kutufunulia SIRI zinazowafanya baadhi ya Watu kufurahia Pesa na Mali, huku wengine wakilia na kujuta ni Mfalme Sulemani, mtu tajiri kuliko wote kuwahi kuwepo hapa duniani. Sulemani aliweza kufikia ngazi hiyo ya juu kabisa ya utajiri, siyo kwa kuhangaika na pesa kama wengi wanavyofanya, bali kwa kuzijua SIRI zinazowafanya baadhi ya Watu kufurahia Pesa na Mali, huku wengine wakilia na kujuta." 

Je na wewe ungependa kuzijua siri hizo?

Usiwe na shaka, zipo ndani ya kitabu hiki cha FUMBO LA PESA NA MALI ZENYE FURAHA.

Kisome sasa, elewa misingi sahihi na nenda kaiishi, hutasumbuka tena katika safari yako ya maisha.

Nikutakie kila la kheri katika safari hii ya kuwa na maisha bora yanayojengwa kwenye msingi sahihi.

Kocha Dr Makirita Amani,

www.amkamtanzania.com


Other products from this category