• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hekima Ya Mahusiano - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

HEKIMA YA MAHUSIANO

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Dec 16, 2020
In category:
Sample

Siri ya kuwa na mahusiano yanayo chanua

Ni hatari kutumia kitu usichokijua kinatumikaje, tumekuwa wavivu wa kujifunza na wepesi wa kutii mihemuko na hisia zetu. Tumejikuta katika dimbwi kubwa la migogoro ya mahusiano. Unahitaji hekima ya namna ya kuishi kwenye mahusiano. Katika maeneo yenye mvuto zaidi duniani moja wapo ni mahusiano baina ya mwanaume na mwanamke lakini ndilo eneo linalotisha zaidi na lililofanya mioyo ya wengi kuvuja damu tutakabilianaje na changamoto hizo? Tunahitaji Hekima ya mahusiano.

Other products from this category