• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Herufi Za Kibantu - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

HERUFI ZA KIBANTU

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Feb 19, 2021
In category:
Sample

Kitabu hiki ni mahususi kwa ajili ya kujifunzia Herufi za kibantu. Wachina wana alfabeti zao, pia wahindi, wakorea na hata warusi nao wana herufi zao. Wabantu tumekuwa tukikopa alfabeti za kirumi katika kuandika. Herufi unazozisoma sasa katika kifungu hiki ni herufi za kirumi. Sasa Kitabu hiki kinakuletea herufi za kibantu. Ni fahari iliyoje kujifunza na kutumia herufi zetu wenyewe! hongera. Bei Tsh 5000 au Ksh 250

Kitabu hiki ni mahususi kwa kujifunzia Herufi za kibantu. Hizi ni alama za kubuni zinazoweza kutumika katika mawasiliano ya kimaandishi. Bara la Afrika lina makabila takribani 2500 ya kibantu. Herufi zimepitishwa na Umoja wa Wabantu Afrika. Kila mbantu anahaki ya kujua na kuzitumia herufi za kibantu katika mawasiliano. 

Other products from this category