Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hisia Za Hatia - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

HISIA ZA HATIA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Oct 03, 2021
Product Views:
2,120
In category:
Sample

Hatia ni woga wa yale yaliyopita unaoambatana na maumivu ambayo yanajaa ndani ya mioyo yetu kwa sababu tumefanya kosa au tumeshindwa kufanya kitu fulani sahihi. Watu wengi wanaishi na kumbukumbu mbaya za dhambi fulani walizofanya miaka mingi iliyopita. Watu wanaishi katika hofu kwamba dhambi zao za zamani zitajulikana. Wanafanya kazi ya ziada kujaribu kumthibitishia Mungu kwamba wametubu kweli. Hatia inafunika na kutuwekea kizuizi kuiona neema ya upendo ya Mungu. Hatia inawaacha watu wapweke, wenye huzuni, na waliovunjika moyo. Athari za hatia ni kubwa sana, zimesababisha watu anaokabiliwa na matatizo mbalimbali kupitia katika kipindi cha kujisikia hatia kama sehemu ya matatizo yao.

YALIYOMO

Ukurasa

• Kutabaruku.....................................

•Shukurani..........................................

•Utangulizi................................ ….…

 

1.         Hisia Za Hatia…

2.         Hatia ya Dhambi

3.         Hatia ya Hukumu

4.         Hatia ya Kweli dhiki ya Hatia ya Uongo

5.         Sababu Na Vyanzo cha Hatia

6.         Mwitikio Usiofaa wa Hatia

7.         Matokeo ya Hatia

8.         Ufahamu kuhusu Hatia

9.         Jinsi ya Kupona kutoka kwenye Hatia

10.     Vitabu Vya Rejea

11.     Kuhusu Mwandishi

More Products On Discount
10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold