• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Hisia Za Kutokusamehe - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

HISIA ZA KUTOKUSAMEHE

Ratings

Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Oct 03, 2021
In category:
Sample

Msamaha ni amri ya Mungu, kwa mujibu wa Biblia. Tunatakiwa kuwasamehe wengine kwa haraka kama tunavyotarajia Mungu kutusamehe sisi. Tunatakiwa kusameheana sisi kwa sisi kama Kristo alivyotusamehe. Msamaha sio kitu tunachofanya kwa wengine, tunakifanya kwaajili yetu wenyewe kupona na kuendelea mbele. Moja ya sifa ya msingi ya mtu mpya ni kusamehe. Mtu mpya hapaswi kuishi na kutokusamehe. Kwa mujibu wa kanuni za Bibilia, mtu mpya ni lazima asiishi kwa kutofuatisha kile kinachofanyika ulimwenguni. Katika ulimwengu, watu ni vigumu kusamehe. Ni kawaida kwa mtu kutokusamehe, na kutafuta kulipa kisasi. Hata hivyo, tunapofanyika watu wapya, Mungu anatarajia tuweze kusamehe. Moja ya tofauti kubwa kati ya Mkristo na siye mwamini ni kwamba Mkristo ana uwezo wa kusamehe na kuamwachilia aliyemkosea.

YALIYOMO

Ukurasa

• Kutabaruku.....................................

•Shukurani..........................................

•Utangulizi................................ ….…

 

<!--[if !supportLists]-->1.         <!--[endif]-->MAANA YA MSAMAHA

<!--[if !supportLists]-->2.         <!--[endif]-->UFAHAMU KUHUSU MSAMAHA

<!--[if !supportLists]-->3.         <!--[endif]-->UGUMU WA KUSAMEHE

<!--[if !supportLists]-->4.         <!--[endif]-->SABABU ZA KUWASAMEHE WALIOTUKOSEA

<!--[if !supportLists]-->5.         <!--[endif]-->DALILI ZA KUTOKUSAMEHE

<!--[if !supportLists]-->6.         <!--[endif]-->NADHARIA ISIYO SAHIHI JUU YA MSAMAHA

<!--[if !supportLists]-->7.         <!--[endif]-->MATOKEO NA MADHARA YA KUTOKUSAMEHE

<!--[if !supportLists]-->8.         <!--[endif]-->UPONYAJI NA KUWEKWA HURU NA KUTOKUSAMEHE

<!--[if !supportLists]-->9.         <!--[endif]-->VITABU VYA REJEA

<!--[if !supportLists]-->10.     <!--[endif]-->KUHUSU MWANDISHI

 

 

 

Other products from this category