• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jifunze Usomaji Wa Vitabu Kwa Njia Rahisi - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Jifunze Usomaji Wa Vitabu Kwa Njia Rahisi

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jun 08, 2020
In category:
Sample

Namna unavyoweza KUGUNDUA SIRI ZILIZOMO VITABUNI na kuweza KUFANIKIWA KIMAISHA

WATU WENGI HUNUNUA VITABU KWA HAMU KUBWA NA KISHA KUVILUNDIKA NDANI BILA KUVISOMA - kwa Sababu hawajui ni kwa namna gani Wanaweza kuondokana na JANGA LA UVIVU LINALOWATESA, na kisha kuvisoma bila Shuruti.


Kwa kuyaona yote hayo! Ndani ya Muongozo huu kuna mambo ya msingi yatakayokusaidia kuwa Bingwa katika Usomaji wa Vitabu. Na siyo tu kusoma, Bali na namna ya kuwa Mtendaji wa wale uyasomayo. #


Ndani ya huu muongozo Utajua...


1. NAMNA YA KUCHAGUA VITABU VIZURI NA SAHIHI KWAKO.


2. NAMNA YA KUPANGILIA RATIBA YAKO YA USOMAJI WA VITABU KWA URAHISI ZAIDI.


3. NAMNA YA KUONDOKANA NA JANGA LA UVIVU KATIKA USOMAJI WA VITABU.


4. NAMNA UNAVYOWEZA KUGUNDUA SIRI ZILIZOMO VITABUNI NA KUWEZA KUFANIKIWA KIMAISHA.

Watu wengi husema, "Ndani ya Vitabu kuna 'Business Ideas' (Mawazo ya kibiashara) na Utajiri wa kutosha" lakini hawakuambii ni kwa namna gani utaweza kuviona kama Wao. Hivyo, Muongozo huu utakusaidia kufikia viwango hivyo na kuzidi.


5. MAWAZO YA WATU WALIYOFANIKIWA KUPITIA USOMAJI WA VITABU.

Watu hao ni wa hapa hapa Tanzania, siyo wa Ulaya wala Amerika. Watakupitisha katika njia zao na kukuonesha ni kwa namna gani waliweza kuchagua Vitabu, kuvisoma, kuibuka na "projects" kubwa kubwa, na kuweza kubadili maisha yao na Jamii inayowazunguka. . .


UNAKOSAJE HUU MUONGOZO? Watakucheka Watu.

Kukosa huu Muongozo wa USOMAJI WA VITABU KWA NJIA RAHISI ni kujikosea na kujipoteza gizani kwa Gharama ya kiburi chako cha kudhani kwamba Unajua Yaliyomo ndani yake, na wakati Hujui kama unavyopaswa kujua. 


USIKUBALI KUENDELEA KUKOSEA NA WAKATI MAJIBU YAPO NDANI YA HUU MUONGOZO. 


USIKUBALI KUENDELEA KUNUNUA VITABU NA KUVILUNDIKA NDANI BILA KUVISOMA, NA WAKATI MAJIBU YA TATIZO LAKO YAMO NDANI YA HUU MUONGOZO.

Gharama yake ni ndogo kuliko Gharama ya kuendelea kuwa Mjinga: *TSH. 5,000/= Tu [KWA LEO].

KUMBUKA: Huu muongozo una kurasa 127+ na UMEKWISHA KUWASAIDIA WATU WENGI WALIYOKUWA NA HALI MBAYA ZAIDI YAKO.


AHADI YETU KWAKO: Endapo utajipatia kitabu hiki ndani ya Saa 24 za Leo, basi utapata na Zawadi nyingine ya kitabu cha Bure kabisa, kitakachoendelea kukunoa zaidi. (Kitabu chenye Thamani ya shilingi 5000+), pamoja na USHAURI wa BURE juu ya Ndoto zako za kimaisha (kwa Wiki moja).


BOFYA KITUFE CHA BUY NOW HAPO JUU UWEZE KUJIPATIA MUONGOZO WAKO SAHIVI.

Other products from this category