• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kanisa Na Teknolojia - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

KANISA NA TEKNOLOJIA

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
May 13, 2021
In category:
Sample

Kitabu hiki kinaonesha kuwa kwa wakati wetu mbinu za kuwasilisha ujumbe zimebadilika kabisa ukilinganisha na za Yesu, Paulo na mitume wengine. Leo hii watu wanawasiliana kwa teknolojia ya habari zikiwemo barua pepe (email), facebook, WhatSapp, Youtube, na zingine nyingi. Dunia imehamia huko na kanisa linapaswa kuhamia katika ulimwengu

Yesu hajataja mbinu ambazo tutazitumia wakati wote kwa vizazi vyote. Yeye alizunguka huko na huko akihubiri hadharani na manyumbani, katika maziwa na visima katika nchi ya Palestina. Paulo akatumia mbinu ya kusafiri na kuvuka mipaka ya kimataifa hadi Asia ndogo akikutana na watu mbalimbali wakiwemo wafalme na wasomi kwenye maeneo ya kumbi, masinagogi, viwanja vya riadha vya kiyunani na akaongeza mbinu mpya ya kuwasilisha ujumbe kwa barua (nyaraka za Agano Jipya). Kwa mifano hiyo ya Yesu na Paulo tunaweza kusema kwa usahihi kabisa kuwa mbinu za kutekeleza agizo kuu zinabadilika kutoka kizazi hadi kizazi. 

Other products from this category