• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kanuni 1o Za Kufanikiwa Kifedha - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

KANUNI 1O ZA KUFANIKIWA KIFEDHA

Ratings

Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jan 16, 2021
In category:
Sample

Ni mapenzi ya Mungu tufanikiwe kiroho, kiafya na katika mambo yote ikiwemo kufanikiwa kifedha. Hitaji la kufanikiwa kifedha ni hitaji la muhimu sana kwa kila mmoja. Hata hivyo ili kuweza kufanikiwa kifedha kuna kanuni za kufanikiwa na kubarikiwa ambazo zinapaswa kuzingatiwa. Wakristo wengi wanapenda kufanikiwa kifedha na kuwa na uhuru wa kifedha, lakini tatizo liko kwenye kuzingatia na kufuata kanuni husika. Huwezi kufanikiwa kifedha kwa kukaa tu huku ukiwa na ndoto. Kuwa na ndoto za kufanikiwa kifedha ni jambo jema, lakini kama haufanyi chochote na wala haufuati kanuni za kukuwezesha kufanikiwa katika eneo la fedha, utakuwa unajidanganya mwenyewe. Kitabu hiki kimejikita kukufundisha kanuni za kawaida za mafanikio ya kifedha zilizo na msingi katika utumiaji wa rasilimali na uzalishaji mali.

VITABU VINGI VIMEANDIKWA TAYARI KUHUSU MAFANIKIO YA KIFEDHA. KITABU HIKI KINA MLENGO TOFAUTI INAPOKUJA MAFANIKIO YA KIFEDHA, KIMEZUNGUMZA NJIA KUU YA MAFANIKIO YA KIFEDHA NI  KUTUMIA RASIMALI ZINAZOTUZUNGUKA  NA KUFANYA UZALISHAJI WA MALI.

Other products from this category