-
+255 717 568 861

Kijana Na Umaarufu: Kuna Raha Ya Kuwa Maarufu
Ratings
Kuna Raha ya Kuwa Maarufu
Ndani ya CD hii kuna SIRI KUBWA SANA ya kukusaidia wewe
ambaye…
Unataka kuwa na Jina Jema na Sifa Njema – Personal Branding
Unataka kubarikiwa na Mungu – Ikiwa ni pamoja na kujua Mbinu
na Mchakato ambao Mungu anautumia Kuwabariki Watu wake
Unataka kujua Siri ambayo Mungu huitumia Kuwainua na
Kuwabariki tena na tena baadhi ya watu, huku wengine wengi wakiendelea Kuomba
sana bila ya kupata Mabadiliko Chanya
Ndani ya Saa Moja (dakika sitini) zilizoshiba ndani ya hili
somo, hutabaki kama ulivyo sasa. Mabadiliko Chanya yatakuwa halali yako katika
kila upande wa maisha yako.
Mkufunzi: LACKSON TUNGARAZA