• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kuanguka Kwa Mtumishi - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

KUANGUKA KWA MTUMISHI

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Sep 23, 2020
In category:
Sample

Kuna hatari nyingi zisizoonekana katika uongozi. Kadiri unavyokuwa katika utumishi na uongozi wa kiroho kwa muda mrefu, ndivyo utavyotambua vile ulivyo wazi na karibu zaidi na kuanguka. Kadiri unavyotambua kwamba ni neema tu ya Mungu ndio inaweza kukutunza, kukuhifadhi na kukufanya ubaki mwaminifu na hatimaye umalize vema, ndivyo unavyokuwa salama zaidi. Moja ya makosa ya kawaida wanayoyafanya watumishi wengi ni kujiamini kupita kiasi na kuona kwamba wapo salama. Haijalishi wewe umekuwa mtumishi na kiongozi kwa muda gani, na kwa kiwango gani, hatari na mitego ipo ina kusubiri. Kadiri mtumishi na kiongozi anavyokwenda juu sana ndivyo hatari zinavyoongezeka.

YALIYOMO


SURA YA KWANZA. 1

KUANGUKA KIROHO KWA MTUMISHI 1

Kuanguka kwa Mtumishi ni Fedheha kwa mwili wote wa Kristo…….1

Usifurahie Juu ya Kuanguka kwa Mtumishi Mwingine. ………. …………2

Mifano Ya Kibiblia Ya Watumishi Walioanguka. ………………………………4

Mifano Ya Kibiblia ya Watumishi Walioanguka Na Kuinuka Tena. …..7

Mifano Ya Kibiblia Ya Watumishi Walioshinda na kufaulu

SURA YA PILI. 12

CHANZO KIKUU CHA KUANGUKA KIROHO KWA WATUMISHI  12

Mungu Kwanza, Huduma Na Watu Baadaye. ………………………………….12

Kuwahudumia wengine kiroho na kujisahau kujihudumia mwenyewe Kiroho   …………………………………………………………………………13

Hatari ya Kuzoea Mambo ya kiroho Na nguvu za Mungu. ……………….17

Kutingwa na shughuli za Huduma na Kukosa Muda Na Mungu: …….18

Watumishi wanaoacha kumtafuta Mungu kwa bidii wapo kwenye hatari ya kuanguka

SURA YA TATU. 22

KUANGUKA KATIKA DHAMBI YA KIBURI 22

Kiburi Ni Adui Yetu Mkuu. ………………………………………………………………22

Onyo Dhidi Ya Kuwa na Kiburi ……………………………………………………….23

Hatari ya Kutafuta Utukufu Wako Badala Ya Utukufu wa Mungu. 24

Kiburi ni kunia Mambo makuu. ……………………………………………………..25

Kiburi Ni Kinyume Cha Unyenyekevu. ……………………………………………26

Kiburi Ni Kujiinua Mwenyewe. ………………………………………………………..27

Kiburi Ni Dhambi Iliyojificha Zaidi …………………………………………………..28

Jinsi Kiburi Kinavyo Muathiri Mtumishi Na Kumwangusha. ………….29

 

SURA YA NNE. 35

KUANGUKA KATIKA DHAMBI YA UZINZI 35

Uzinzi katika Mtazamo Wa Kibiblia. ………………………………………………..36

Watumishi Wana Hisia za Kujamiiana Sawa Na Watu Wengine. ……..37

Madhara Ya Kuanguka Katika Uzinzi ………………………………………………39

Mwongozo Wa Kujilinda Dhidi ya Kuanguka Katika Uzinzi ……………..42

 

SURA YA TANO. 56

KUANGUKA KATIKA TAMAA YA KUPENDA FEDHA.. 56

Kupenda Fedha: Shina Moja La Mabaya Yote. ……………………………….56

Kuchagua Kati ya Mungu Au Fedha. ……………………………………………….57

Fedha Inapima Uwakili na Uaminifu wako. ……………………………………58

Onyo dhidi ya Mapato ya Aibu. ………………………………………………………60

Tamaa na ulafi wa Fedha. ………………………………………………………………61

Jinsi Ya Kutunza Na Kulinda Uadilifu Wako Kifedha. ……………………….62

Amri Kumi za Fedha Zitazokulinda na kuanguka. ……………………………66

 

SURA YA SITA. 68

UREJESHO WA MTUMISHI ALIYE ANGUKA KIROHO.. 68

Ratings: (0) Leave a Review

You must login to post your review.

Post Posting...

Other products from this category