• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kufanyika Kiongozi - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

KUFANYIKA KIONGOZI

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Sep 23, 2020
In category:
Sample

Lengo la kitabu hiki ni kukusaidia uweze kugundua na kupalilia uwezo wa uongozi ulio ndani yako na ufanyike kiongozi yule ambaye Mungu amemkusudia. Ni matumaini yangu kitabu hiki kitakusaidia sana katika mchakato wa kukutayarisha, kukuandaa na kukukamilisha ili ufanyike kiongozi. Katika kitabu hiki utapata nafasi ya kujifunza masomo mbalimbali muhimu kama vile, maana ya uongozi, tofauti kati ya uongozi na usimamizi, msingi wa uongozi, kanuni za kiutendaji katika kiongozi, kanuni za kiutumishi katika Uongozi, na kanuni za kimaadili katika kiongozi. Ni maombi yangu kwamba, kwa kupitia kitabu hiki ule uwezo wa uongozi ulioko ndani yako utapaliliwa na kuchochewa na utapiga hatua moja zaidi katika mchakato wa kufanyika kuwa kiongozi.

YALIYOMO


 

Sura ya 1. 1

MAANA YA  UONGOZI 1

Mtazamo usio sahihi kuhusu Kiongozi 1

Mtazamo sahihi kuhusu Kiongozi Ni nani 3

Maana ya Kiongozi 5

Maana ya Uongozi 7

 

Sura ya 2. 12

MSINGI WA UONGOZI 12

Uwezo Wa Uongozi Upo Ndani Yako. 14

Mchakato wa Kufanyika Kiongozi 15

Uongozi Ni Sanaa Na Sayansi 18

Sifa 5 Za Uongozi Wa Kweli 19

Mambo Saba Yanayokufanya Kuwa Kiongozi 21

Hatua Nane (8) Kugundua Kusudi La Mungu  Katika Uongozi Wako  26

 

Sura ya 3. 29

UHUSIANO NA UTOFAUTI KATI YA UONGOZI NA USIMAMIZI 29

Tofauti 24 Kati Ya Kiongozi Na Msimamazi 29

Tofauti 25 kati ya Bosi na Kiongozi 32

 

Sura ya 4. 38

UTENDAJI WA KIONGOZI 38

Kanuni 13 Za Kiutendaji katika Uongozi 38

1.    Kanuni Ya Msimamo Na Kuwasadikisha Wengine. 38

2.    Kanuni Ya Uwezo Wa Ushawishi 41

3.    Kanuni Ya Mamlaka  Ya Kiongozi 43

4.    Kanuni Ya Kuongoza Njia. 46

5.    Kanuni Ya Kuanzisha Jambo. 47

6.    Kanuni Ya Kuona Mbali 48

7.    Kanuni Ya Kujiendeleza Na Kujiwekeza. 51

8.    Kanuni Ya  Uwezo Wa Ubunifu. 53

9.    Kanuni Ya Kupanga Malengo. 56

10.  Kanuni Ya Kupanga Mipango Ya Utendaji 57

11.  Kanuni Ya Utatuzi Na Ufumbuzi Wa Matatizo. 60

12.  Kanuni Ya Usimamizi Muda. 61

13.  Kanuni Ya Kufanya Maamuzi 62

 

Sura ya 5. 66

Other products from this category