• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kuishi Kama Tai - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

KUISHI KAMA TAI

Ratings

Price:
8,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jul 31, 2020
In category:
Sample

KANUNI SABA KUTOKA KATIKA MAISHA YA TAI ZA KUTUWEZESHA KUISHI KWA MAFANIKIO NA USHINDI .


Tai ni alama na picha ya ushujaa, ujasiri, kuwa na maono na kuwa mpambanaji. Ni alama ya mtu mwenye nguvu na maisha ya ushindi. Tai anaheshimika na kusifika kwa fikra zake na mtazamo wake, unaomtofautisha na ndege wengine wote na kumfanya kuwa ni Mfalme wa Anga.

Mambo makuu tunayojifunza kutoka kwa tai ni pamoja na uwezo wake wa kuona mbali, kukabili dhoruba, kulenga jambo, kuyakabili mabadiliko, kufanya mahusiano, kujihuisha upya mwenyewe na nidhamu yake binafsi.

Kila mtu anaweza kuwa tofauti na alivyo sasa. Kama tai, na sisi tunaweza kujitofautisha na watu wengine na kuwa watu wa kipekee. Ikiwa unataka kuwa mtu wa tofauti basi kitabu hiki kitakusaidia kukupa hamasa ya kubadilisha fikra zako na kwa kuzifuata kanauni za maisha ya tai unaweza kuwa mtu mkuu na wa kipekee.

Mambo makuu saba utayojifunza katika kitabu hiki kutoka katika maisha ya tai, ni rahisi na tena yanatekelezeka katika maisha yetu ya kila siku katika kuongoza kwetu. 

Other products from this category