• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kusanya Vipande Vyake - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Kusanya Vipande Vyake

Ratings

Price:
7,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Feb 09, 2021
In category:
Sample

Kila jukumu unalo lipata yakupasa ulifanye kwa ukamilifu.

Kusanya Vipande Vyake ni hadithi inayo muhusu binti aitwaye Furaha. Binti ambaye amekutana na changamoto nyingi mno na nzito za kimaisha Hadi kumpelekea kua ni binti mkorofi sana, jeuri, kisirani, anaye mchukia kila mtu na hadi kujichukia yeye mwenyewe. Kijana  mnyenyekevu, mpole, msomi, na tajiri, anapewa jukumu zito la kumtafuta binti huyo (ambaye hawafahamiani kabisa) ili aweze kukusanya vipande vyake, haikua kazi nyepesi lakini anaamrishwa aifanye. 


Je, kijana ataweza kweli kulitimiza jukumu alilopewa? Na je, wajua ni vipande vya aina gani anapaswa kumkusanyia huyo binti? 

Fuatilia kwa undani zaidi katika kitabu hiki ambacho hakika mbali na kukuliwaza, kitakufundisha mambo mengi. 

Other products from this category