• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kwanini Hawanielewi - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

KWANINI HAWANIELEWI

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Dec 07, 2020
In category:
Sample

Kwanini Hawanielewi ni article ambayo inachambua kwa undani mgogoro wa kifikra na kihisia baina ya wanaume na wanawake ambao umepelekea wanawake wengi kushindwa kufuarahia mahusiano yao na wanaume ikiwa ni mahusiano ya kimapenzi na hata sehemu za kazi na biashara. Wanawake wanahisi kutopewa nafasi ya kuwa huru kifikra na kihisia pia. Wengine hasa wale waliojaliwa uwezo mkubwa kiakili, wanaonekana ni wajuaji, wajeuri na wanaotaka kuwatawala wanaume. Article hii imelengea kumsaidia mwanamke kufahamu nini hasa kiini cha utata huu na ni kwanini wanaume hushindwa kuwaelewa wanawake.

Wanaume huogopa vikao na mazungumzo rasmi na wenzi wao

Wanaume huonekana kupinga mawazo ya wenzi wao

Wanaume huonekana kuogopa wanawake wenye uwezo mkubwa kiakili

Wanaume huona kama wanawake ni wadhaifu katika maswala ya kuongoza na kufanya maamuzi

Wanaume huona wanawake wenye akili kuwa ni wajeuri na wajuaji

Kwanini ipo hivi? Jibu jepesi kwa watu wengi huwa "wanaume ni wabinafsi". Hii si kweli, kuna kitu cha zaidi ambacho unaweza kujifunza kupitia article hii.

Ikiwa unahitaji kufurahia mahusiano yako na mwenzi wako,

Ikiwa unatamani kuwa na mahusiano mazuri na wanaume sehemu za kazi

Ikiwa unahitaji kuishi maisha ya amani na wanaume sehemu yoyote hii ni article muhimu zaidi kwako.

Other products from this category