• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Lugha Ya Mungu Nyakati Za Mateso - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

LUGHA YA MUNGU NYAKATI ZA MATESO

Ratings

Price:
2,500 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Dec 05, 2020
In category:
Sample

Ishi nje ya maumivu kwa kujua kile Mungu anachokuwazia.

Tunaishi katika nyakati ambazo watu wengi wamekata tamaa. Kwenye jamii hii kubwa ambayo tumaini lake li karibu kupotea, wamo watu aina mbalimbali. Imefika mahali wanaona kama hakuna nafasi ya maisha kwa ajili yao.


Maisha ni mfululizo wa fursa za kutatua changamoto, maadam yuko hai changamoto hazitakoma. Duniani tunayo dhiki yatupasa kujipa moyo.

Lakini haijalishi ni changamoto gani kubwa au ndogo Mungu anayo majibu.

Kitabu hiki kitakupa fursa adhimu ya kutambua wazo la Mungu juu ya changamoto unayoipitia.


Karibu.

Other products from this category