• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Maana Ya Kazi - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Maana Ya Kazi

Ratings

Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jun 26, 2020
In category:
Sample

Ijue Kazi yako na uifanye

Ukosefu wa ajira hasa kwa vijana ni changamoto kubwa katika Karne ya 21. Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia yamesababisha pia kiwango cha ukosefu wa ajira kuongezeka kila kukicha.

Mwandishi katika kitabu hiki ameeleza hasa ni nini kiini cha tatizo hili kwamba ni suala la 'tafsiri na mtazamo' wa watu mbalimbali. Kama kila mmoja angefahamu tafsiri sahihi ya neno kazi basi kusingekuwa na tatizo la ajira.

Other products from this category