• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mafanikio Kwenye Biashara - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Mafanikio Kwenye Biashara

Ratings

Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
May 07, 2020
In category:
Sample

Anzisha, Kuza na Miliki Biashara Kubwa.

Kukosa mtaji imekuwa ni sababu kuu ambayo wengi wanapenda kuitumia unapowauliza ni kwa nini hadi sasa hawajaanza biashara? Ukweli ni kuwa wengi sio kwamba wamekosa mtaji huo wanaosema bali wamekosa mtaji wa aina ya mawazo. Wewe binafsi kama unasema huna mtaji basi hujui ni kitu gani unachotaka kufanya. Ukweli ni kwamba hakuna kitu kisichokuwa na mwanzo mdogo kama utakifahamu vizuri. Kuna namna bora ya kuanza na kile ulichonacho na ukafikia kile unachotaka kuwa nacho. Kusema kwamba huna mtaji ni kufunika yale mambo ya kweli ambayo yanasababisha wewe usianze kuchukua hatua. Unakuwa unafunika woga wako, uvivu, na kutotaka mabadiliko.

Other products from this category