
Mama Mwenye Sura Mbili
Price:
3,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jul 15, 2020
Product Views:
952
Sample
Huu ni ushuhuda wa kweli wa maisha uliojaa mafunzo kemkem ya maisha hasa kwa vijana
Kuna wakati katika maisha ni lazima upitie mambo kadhaa ambayo yatakukomaza na kumtengeneza wewe bora , changamoto huwa zinakuja ili kutufundisha vitu tulivyokuwa hatuvijui kabla hivyo unapoata changamoto kuwa makini maana ni darasa ambalo ukijifunza vizuri hutakuwa kama ulivyokuwa awali, nimejifunza mengi lakini nimetamani na nikushirikishe na wewe pia utapata kitu cha kukujenga naamini hutabaki kama ulivyokuwa.