Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mambo Ambayo Wanawake Wazee Wawafundishe Wanawake Vijana - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

MAMBO AMBAYO WANAWAKE WAZEE WAWAFUNDISHE WANAWAKE VIJANA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 25, 2021
Product Views:
23
In category:
Sample

Kwa miaka kadhaa nimekuwa nikifuatilia maisha ya wanawake vijana ambapo wengine ni marafiki wangu wa karibu sana. Nimepata nafsi ya kuzungumza nao mambo mengi na kujua maisha yao kwa ukaribu sana. Baada ya miaka mingi nimegundua tunaishi katika nyakati ambazo wanawake vijana waliowengi hawana na hawajui mambo ya msingi wanayotakiwa kuwa nayo ili waweze kuwa wake na mama bora katika familia zao. Hali hii imesababishwa na kulelewa na kuzungukwa na wanawake wazee ambao nao hawana na hawajui mambo haya ya msingi, hata wale wanaojua wengi wao wameshindwa kuhakikisha wanawafundisha wanawake vijana ili wawe bora. Kitabu hiki ni msaada kwa wanawake vijana kujifunza mambo ya msingi wanayotakiwa kuyajua na kuyaishi ili wawe wake na mama bora katika familia zao. Lakini pia kitabu hiki kinawakumbusha wanawake wazee juu ya wajibu wao wa kuwafundisha wanawake vijana. Je? Unatamani kuwa mwanamke mzee bora na mwenye sifa za kuwafundisha wanawake vijana? Unatamani kuwa mke na mama bora katika familia yako? Jipatie nakala yako ya Ebook hii, utakapofika mwisho wa kitabu hiki utabadilika kabisa endapo utaruhusu maarifa haya kukubadilisha na kukujenga.


More Products On Discount
7,500 Tsh. 4,000 Tsh.

Sold by: Meinrald Mtitu

25,000 Tsh. 1,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

10,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

10,000 Tsh. 3,999 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 5,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

20,000 Tsh. 1,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Sellers List
Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Seller
1,000 Tsh.

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
15,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

GetValue Recommendations
Old is Gold