• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Mpango Wa Biashara; Anzia Sokoni - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

MPANGO WA BIASHARA; ANZIA SOKONI

Ratings

Price:
10,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Feb 14, 2021
In category:
Sample

"Kitabu cha Mpango wa Biashara; Anzia Sokoni, ni mwongozo kamili unaotumika katika kukusaidia kuandaa mpango wa Biashara yako ya aina yoyote ile".- Jeremiah Paul Wandili

KWANINI MPANGO WA BIASHARA NI MUHIMU KWAKO.

Mpango wa Biashara ulioandikwa vizuri ni zana muhimu kwa sababu inakupa uwezo wa kuweka malengo yako na kufuatilia maendeleo yakoo wakati biashara yako inapoanza kukua.

Kuunda mpango wa biashara inapaswa kuwa jambo la kwanza kufanywa wakati wa kuanzisha biashara mpya.

Mipango ya biashara pia ni muhimu kwa kuvutia wawekezaji ili waweze kuamua ikiwa biashara yako iko kwenye njia sahihi na inafaa kuweka pesa zao.

Nakukaribisha kuweza kusoma kitabu hiki na tutumie ujumbe au swali ili kuboresha uandaaji wa mpango wa biashara yako.

Hongera sana, nakutakia mafanikio. 

Other products from this category