• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Nyuma Ya Ushindi: Kuna Kushindwa Kushindwa Kushindwa - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Nyuma Ya Ushindi: Kuna Kushindwa, Kushindwa, Kushindwa

Ratings

Price:
5,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Feb 14, 2021
In category:
Sample

Mara nyingi sana inapozungumziwa historia ya watu waliofanikiwa kiuchumi, kimahusiano, kisiasa, kijamii n.k basi huwa inaoenekana ni ya kusisimua sana. Maana historia hii huwa inazungumziwa katika namna ambayo ni ya kusisimua. Ila kitabu hiki hapa kinaenda kukupa ukweli ambao watu waliofanikiwa huwa wanakutana nao NYUMA YA PAZIA la ushindi. na kitu hiki ni kushidnwa. wengi hawakwambii hiki kitu ila kwenye kitabu hiki utaambiwa kila kitu kiudani.

Ukisoma kitabu hiki mwanzo mpaka mwisho, utagundua kuwa Nyuma Ya Ushindi kuna kushindwa, ila kushindwa siyo mwisho. ndiyo maana mbeleni kuna kufanikiwa. Kwenye kitabu hiki utaona jinsi ambavyo unaweza kutumia kushindwa kama ngazi ya kufanikiwa. Kushindwa kupo ila usiogope. Kutakuepeleka kwenye mafanikio makubwa

Other products from this category