• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Sekta 11 Za Kutengeneza Mamilioni Ya Fedha Tanzania - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Sekta 11 Za Kutengeneza Mamilioni Ya Fedha Tanzania

Ratings

Price:
4,000 Tsh.
Num added to cart:
0
Added to shop:
Jun 07, 2021
In category:
Sample

Zifahamu sekta 11 za kutengeneza mamilioni ya fedha nchini Tanzania

Kuna sekta 11 ambazo unaweza kutengeneza mamilioni ya fedha nchini Tanzania. Baadhi ya sekta hizi zimekuwepo kwa kipindi kirefu, nyingine zimekuja siku za karibuni tu. ila kitu kikubwa kinachoziunganisha sekta hizi ni kwamba zitaendelea kuwepo kwa siku nyingi zijazo. Ndio maana mwandishi wa kitabu  hiki amezidadavua vizuri ili uzijue na uweze kuzichangamkia.

Je, unajua sekta hizi ni zipi? tukutane kwenye kurasa za kitabu hiki

Other products from this category