• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Suluhisho La Magonjwa 16 Sugu Yasiyoambukizwa Wala Kutibika Kirahisi - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

Suluhisho La MAGONJWA 16 SUGU Yasiyoambukizwa Wala Kutibika Kirahisi

Ratings

Price:
7,500 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Mar 05, 2021
In category:
Sample

Jifunze jinsi ya kujikinga na magonjwa sugu yasiyo ambukizwa

Magonjwa yasiyo ambukizwa Kama kisukari, Magonjwa ya moyo ugonjwa wa shinikizo la damu ,ugonjwa wa kansa na saratani Magonjwa ya Figo na mengine mengi yamekuwa yakileta athari hasi katika  jamii yetu ikiwemo kuongeza idadi ya vifo pamoja na ulemavu wa kudumu. Na tatizo kubwa ilikuwa ni ukosefu wa elimu sahihi ya utunzaji wa afya zetu.

Hivyo Basi katika kitabu hiki tutapata elimu Bora itakayo kusaidia kutunza afya na kwa kutumia njia rahisi kabisa zinazo kubalika na watoa huduma ya afya na utaweza kuokoa afya yako dhidi ya Magonjwa yasiyo ambukizwa.!!!! Nawatakia usomaji mwema .

Other products from this category