• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Survival Mode - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

SURVIVAL MODE

Ratings

Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
May 29, 2020
In category:
Sample

Kuna kipindi kigumu unachopitia ambacho unachotakiwa kufanya, ni kutokufanya kitu chochote zaidi ya kupumua.

Kuna mazuri yanayopatikaana katika matatizo na changamoto. Kipindi kigumu ni uwekezaji wa kisaikolojia katika kujenga mafanikio ya kudumu ambayo ukubwa wake unategemea magumu mhusika aliyoyapitia. Kuna masomo ya kujifunza na kukuboresha jinsi ya kutenda na kufikiria kutoka katika kila janga unalokutana nalo. Matatizo na changamoto zote zinazotokea katika jamii, zimebeba funzo kubwa ambalo haliwezi kupatikana sehemu yoyote nyingine. Mtazamo wa tatizo linalokukumba unaweza kukufikisha kwenye fursa ambayo usingeipata bila tatizo hilo. Kuna kipindi kigumu unapitia ambacho huhitaji kupata ushauri kutoka kwa mtu yeyote, ila wewe tu. Kuna kipindi unahisi uzito wa dunia umekuelemea, kwenda mbele unaumia, kurudi nyumba unaumia, kutulia hapo unahisi utakufa, katika hali hiyo huhitaji kufanya chochote, PUMUA.

Other products from this category