-
+255 717 568 861

TOFAUTI 50 KATI YA MATAJIRI NA MASIKINI
Ratings
Hivi ni kitu gani ambacho huwa kinawatofautisha matajiri na masikini? Kwa nini matajiri huwa wanaendelea kuwa matajiri na masikini kuendelea kuwa masikini? Kuna kitu gani ambacho matajiri wanakijua ambacho masikini hawajui? Kwenye kurasa za kitabu hiki unaenda kukutana na tofauti 50 kati ya matajiri na masikni ambazo kiukweli zitakuacha mdomo wazi. Kuna vitu ambavyo umekuwa unafanya kwa siku sasa ukidhani kwamba hayo ndiyo maisha ya kitajiri ila kwenye kitabu hiki hapa utashangaa kuona kwamba vitu hivyo havipo kabisa kwenye tabia za kitajiri na kuna vitu umekuwa hufanyi ambavyo matajiri wanafanya kila siku na tayari vitu hivyo ni sehemu ya pili ya maisha yao. Kama unataka kuwa tajiri na kujenga utajiri ambao utadumu kwa muda mrefu, basi hauna budi kuhakikisha kwamba unajifunza misingi ya maisha ya kitajiri na kuitumia kwenye maisha yako. Kuna kikundi ambacho huwa kinanifurahisha jinsi kinavyoshi maisha yao kila siku. Na kikundi hiki ni kikundi cha wanamziki.Mwanamziki hata kama ni mchanga huwa anahakikisha kwamba anaishi kama mwanamziki mwenye jina kubwa. Hivyo, hata kuvaa na kwake kunakuwa kama mwanamziki mwenye jina kubwa. Na wewe pia, kuanzia leo unaweza kuanza kuishi kama tajiri. Bila kujali kipato chako ni kiasi gani,bila kujali akaunti yako ina kiasi gani na bila kujali unamiliki nini. ukianza kuishi kama matajiri wanavyoishi, itafikia hatua ambapo na wewe utakuwa umefuata misingi yote ya kitajiri. Yaani, ni rahisi sana. Kama unataka kuwa tajiri basi anza kuishi na kufanya kazi zako kama ambavyo matajiri wanaishi na kufanya kazi zao. Muda si mrefu utaanza kuvutia utajiri kwako na mambo yatakuwa mazuri kama upo tayari kwa ajili ya safari hii ya kitajiri basi kinachofuata ni wewe kufanyia kazi kile ambacho unaenda kusoma kwenye kurasa za kitabu hiki hapa. Godius Rweyongeza 23 Juni, 2020
Hivi
ni kitu gani ambacho huwa kinawatofautisha matajiri na masikini? Kwa nini matajiri
huwa wanaendelea kuwa matajiri na masikini kuendelea kuwa masikini? Kuna kitu
gani ambacho matajiri wanakijua ambacho masikini hawajui?
Kwenye
kurasa za kitabu hiki unaenda kukutana na tofauti 50 kati ya matajiri na
masikni ambazo kiukweli zitakuacha mdomo wazi. Kuna vitu ambavyo umekuwa unafanya
kwa siku sasa ukidhani kwamba hayo ndiyo maisha ya kitajiri ila kwenye kitabu
hiki hapa utashangaa kuona kwamba vitu hivyo havipo kabisa kwenye tabia za
kitajiri na kuna vitu umekuwa hufanyi ambavyo matajiri wanafanya kila siku na tayari
vitu hivyo ni sehemu ya pili ya maisha yao.
Kama
unataka kuwa tajiri na kujenga utajiri ambao utadumu kwa muda mrefu, basi hauna
budi kuhakikisha kwamba unajifunza misingi ya maisha ya kitajiri na kuitumia
kwenye maisha yako.
Kuna
kikundi ambacho huwa kinanifurahisha jinsi kinavyoshi maisha yao kila siku. Na
kikundi hiki ni kikundi cha wanamziki.Mwanamziki hata kama ni mchanga huwa anahakikisha
kwamba anaishi kama mwanamziki mwenye jina kubwa. Hivyo, hata kuvaa na kwake
kunakuwa
kama mwanamziki mwenye jina kubwa. Na wewe pia, kuanzia leo unaweza kuanza
kuishi kama tajiri.
Bila
kujali kipato chako ni kiasi gani,bila kujali akaunti yako ina kiasi gani na
bila kujali unamiliki nini. ukianza kuishi kama matajiri wanavyoishi, itafikia
hatua ambapo na wewe utakuwa umefuata misingi yote ya kitajiri.
Yaani,
ni rahisi sana. Kama unataka kuwa tajiri basi anza kuishi na kufanya kazi zako
kama ambavyo matajiri wanaishi na kufanya kazi zao. Muda si mrefu utaanza
kuvutia utajiri kwako na mambo yatakuwa mazuri kama upo tayari kwa ajili ya
safari hii ya kitajiri basi kinachofuata ni wewe kufanyia kazi kile ambacho
unaenda kusoma kwenye kurasa za kitabu hiki hapa.
Godius
Rweyongeza
23
Juni, 2020