• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Uhuru Wa Kweli1 - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

UHURU WA KWELI

Ratings

Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Feb 09, 2021
In category:
Sample

Uhuru wa Kweli katika Kristo Yesu na matokeo ya kazi ya msalaba

Kitabu hiki UHURU WA KWELI ni kitabu kinachomueleza na kumfunua Yesu Kristo kama Mkombozi aliyetusaidia kuwa huru kupitia neema yake aliyoifunua kwa kazi yake ya msalaba. Kazi hiyo inatusaidia kuponywa, kufunguliwa na kuwa na mafanikio kamili. Bwana Yesu alikuja kusuluhisha chanzo cha matatizo yote.Kitabu hiki kitakusaidia kupata ufahamu juu ya mambo yafuatayo:-

  • Kumsaidia mtu aliyeathirika na ulevi mbaya (bad addictions) wa aina zote ulioshindikana kupitia neema ya Kristo.
  • Kuwa na mtazamo sahihi ambao utapelekea kuwa na imani itakayokusaidia kudhihirisha uponyaji, ustawi (mafanikio) na kuishi maisha ya kimbingu ukiwa duniani kupitia neema ya Kristo.
  • Kuwa na ufahamu juu ya kuwa na udhihirisho kamili juu ya huduma, kazi, kipawa na karama zilizoko ndani yako kupitia neema ya Kristo.
  • Namna ya kulitimiza kusudi la Mungu kikamilifu kupitia neema ya Kristo.

Kwa Neema ya Roho Mtakatifu nakukaribisha tuweze kujifunza UHURU WA KWELI katika Kristo Yesu ili tuweze kufikia uponyaji, ukombozi na mafanikio kamilifu kama Mungu alivyo kusudia katika maisha yetu.

UMEBARIKIWA

Other products from this category