-
+255 717 568 861

UKOMBOZI WA FIKRA
Ratings
Ufunguo was kufikiri zaidi ya kawaida.
Huko nyuma baba zetu walipigana kuikomboa nchi yetu kutoka katika mikono ya utumwa wa wakoloni, wakafanikiwa na tukawa huru. Huo ulikuwa utumwa wa nje ingawa nao uliwanyima usingizi baba zetu na babu zetu. Lakini sihitaji tena kuuongelea utumwa huo, kuna utumwa mwingine mbaya na hatari kuliko utumwa huo nao unaitwa utumwa wa fikra. Utumwa huu ndio unaolitesa taifa kwa sasa ,tunahitajika kujikomboa kutoka katika utumwa huu. Katika kitabu hiki utajifunza namna ya kuondokana na utumwa huu na kufanya mambo makubwa kutumia ufikiri wako.