
ULIMWENGU WAKO
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Aug 18, 2020
Product Views:
731
Sample
Itambue nafasi yako ili uyavutie na kuyaishi mafanikio yako, siri ya mafanikio iliyojificha ndani yako.
Kila mtu anaupekee ndani yake ambao
mtu mwingine yeyote hana na ndio unaomtofautisha na watu wengine , lakini tatizo ni kuwa wengi hawajui kuwa wanakitu cha tofauti ndani yao, kupitia kitabu hiki utajifunza namna ya kuugundua upekee wako na namna ya kuutumia hadi kufikia hatua ya mafanikio.upekee wako umebeba mafanikio yako. Usiyatafute mafanikio kwa watu wengine kwa sababu yamo ndani yako, kitabu hiki kitakupa elimu ya kujitambua na kujielewa wewe binafsi .