• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Unatengenezaje Fursa Mwaka 2021 - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

UNATENGENEZAJE FURSA MWAKA 2021?

Ratings

Price:
3,999 Tsh.
Vendor:
Num added to cart:
0
Added to shop:
Mar 19, 2021
In category:
Sample

Unatengenezaje fursa? Hili ni swali la msingi kwa kila mtu anayetaka kubadilisha maisha yake na kugusa maisha ya wengine. Tupo kwenye wakati ambao asimilia kubwa ya watu wanalalamika hawana na hawaoni fursa kabisa. Lakini, Je! Ni kweli kwamba fursa hamna? Jibu ni HAPANA. Fursa zipo nyingi tu, na kila kukicha zinakuja nyingine mpya. Kama kila siku watu wanataka kula, wanataka kuvaa, wanataka kuwwa bora zaidi, basi ni ukweli usiopingika kwamba fursa hazitakoma!.

Tembelea blog yangu HAPA

Other products from this category