
DOMINATE - Nini Unafanya Na Maisha Yako?
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Nov 16, 2022
Product Views:
202
Sample
Tatizi la msingi sio ukosefu wa mtaji au uhaba wa ajira. Tatizo halisi ni KUSAHAU JUKUMU no. 1 la uumbaji "DOMINATING" Kutawala / Kumiliki.rnrnNini unafanya na maisha yako duniani hapa?
Shule ya msingi, sekondari hadi chuo kikuu.
Kote huko ni maandalizi KUJA KUFANYA KAZI.
Kazi ndio kitu pekee unakifanya kwenye maisha yako yote. Na kila kitu kwenye maisha KINAPATIKANA KUTOKANA NA KAZI: Utajiri, Heshima, Furaha, Kujiamini na Utoshelevu. Vyote huletwa na nini mtu anafanya.
Basi kama ni hivyo, KAZI ni MAISHA.
Na issue sio tena kuajiriwa au kujiajiri, bali ni KUTAWALA & KUMILIKI.
On a very serious note, NINI UNAFANYA NA MAISHA YAKO?
Unasubiri mtaji?
Ungojea ajira?
Au kote haupo?
Tawala... DOMINATE.