
JINSI YA KUONGEA AKILI YA FEDHA
Kwa ufupi kitabu hiki kinaelezea kwa undani na kinajibu maswali wanaojiuliza wengi. Kwann siwi taji? Pesa zangu zinapotelea wapi? Kwanini sifikie kwenye uhuru wakifedha Uhuru wakifedha ndio kitu muhimu sana na chapekee ambacho binadamu tuna pambania. Ili tufuatiwe na ulinzi katika matatizo na mwonekano katika jamii .
Kila mmoja wetu ana uwezo lakin uwezowetu umejificha katika kujifunza na kutambua mambi. Kitabu hiki kina kwenda kukufungua macho na uelewa juu ya fedha. Pia kitaongeza uadilifu wako juu ya fedha na kufahamu zaidi akili ipi umekosa juu ya fedha ambayo inakufanya usifike katika mafanikio makubwa na uhuru kifedha.
Tendelea kutufuatilia zaidi kwa vitabu vinavyofuata.
Asante kwakuwa nasi.