Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Kijiji Kisicho Na Makaburi1 - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

KIJIJI KISICHO NA MAKABURI

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
5,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jan 12, 2022
Product Views:
1,771
In category:
Sample

KIJIJI KISICHO NA MAKABURI ni riwaya inayomhusu mwalimu Dickson, ambaye anapitia katika safari ya kutisha katika kijiji cha Ikolonga, mkoani Simiyu.

“Hakuna ubishi, simulizi iliyobeba riwaya hii inaakisi falsafa ya Kiafrika kwa kina na mapana. Ama pia niseme inaonesha mivutano ya kani za dini za kigeni na mpinzani wake mkuu “tamaduni za Kiafrika” ambaye ameoneshwa kihasi. Riwaya imebeba dhana pana zaidi. Tofauti kubwa ya Dickson Mtalaze na waandishi wengine wa simulizi za kutisha ni uwezo wake wa hali ya juu wa kuyaeleza matukio ya kuogopesha lakini kwa namna ya kifutuhi. Siwezi kuacha kusema kuwa, tangu naanza kusoma riwaya yake, hakuacha kunivunja mbavu na papo hapo kunitisha. Huu ni ufundi wa kipekee!”

Gervas Kasiga

Mhadhiri, Chuo Kikuu cha Dodoma


“Nimesoma riwaya nyingi zilizoandikwa na watunzi wa Kitanzania lakini hii ina uzuri na upekee. Inagusa moyo na fahamu na kumuacha msomaji atamani hadithi isiishe. Hongera Mtalaze.”

Dkt. John P. Mwakyusa, PhD

Mhadhiri,  Chuo Kikuu cha Dar es Salaam


 “Nimesoma vitabu vingi vya Kiswahili lakini sijawahi kusoma kitabu kinachosisimua kama Kijiji Kisicho na Makaburi. Wakati nikikisoma nilikuwa naogopa kuendelea huku nikitamani kujua mwendelezo kwa wakati mmoja.”

Norseen Becky

Nairobi,Kenya


“Nilipoanza kusoma kitabu hiki, nilidhamiria kufuata utaratibu wangu wa kusoma katarasi tano tu kwa siku, hatimaye nilijikuta ukurasa wa mwisho yaani hata neno tamati nililivuka. Fani hasa matumizi ya lugha yatakufanya utabasamu na kucheka peke yako.”

Shazil Naheka

Msomaji, Tanzania

 

“Simulizi ya kijiji kisicho na makaburi itakutoa kwenye kudadisi, nitakupitisha kwenye taharuki na hofu na hatimaye itakuacha katika mshangao na maswali!”

Mwafrika Merinyo

Mhariri, Tanzania


“Kijiji Kisicho na Makaburi ni simulizi ya aina yake , ni kama nilikuwa naona kinachosimuliwa kwa macho yangu. Hisia mseto zilinivaa, hakika sikutamani kiishe…”

Martha Saranga

Mtangazaji, BBC

More Products On Discount
5,000 Tsh. 4,000 Tsh.
(1)

Sold by: Peter Fabian

25,000 Tsh. 20,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

11,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Said Maumba

Best Sellers List
Best Seller
200 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

Old is Gold
3,000 Tsh.

Sold by: ISAAC JULIUS

5,000 Tsh.
(1)

Sold by: Peter Fabian

10,000 Tsh.

Sold by: Joas Yunus

5,000 Tsh.

Sold by: Muddyb Mwanaharakati