
Sekta 11 Za Kutengeneza Mamilioni Ya Fedha Tanzania
Price:
4,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 07, 2021
Product Views:
808
Sample
Zifahamu sekta 11 za kutengeneza mamilioni ya fedha nchini Tanzania
Kuna sekta 11 ambazo unaweza kutengeneza mamilioni ya fedha nchini Tanzania. Baadhi ya sekta hizi zimekuwepo kwa kipindi kirefu, nyingine zimekuja siku za karibuni tu. ila kitu kikubwa kinachoziunganisha sekta hizi ni kwamba zitaendelea kuwepo kwa siku nyingi zijazo. Ndio maana mwandishi wa kitabu hiki amezidadavua vizuri ili uzijue na uweze kuzichangamkia.
Je, unajua sekta hizi ni zipi? tukutane kwenye kurasa za kitabu hiki