Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Tegua Mitego - GetValueInc
Biashara & Ujasilimia Mali

TEGUA MITEGO

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
7,500 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
May 11, 2022
Product Views:
112
In category:
Sample

Ni kitabu cha Ujasiriamali kwa Wajasiriamali na wanaopenda kuwa Wajasiriamali. Kitabu kimeilezea dhana nzima ya Ujasiriamali kuanzia maana, misingi yake namna ya kuitambua Mitego inayoangusha biashara nyingi zinazoanzishwa na namna bora ya kukabiliana na Mitego hiyo. Dhamira kuu ya kitabu ni kuhakikisha biashara zinazoanzishwa zinakuwa endelevu na zinaleta tija stahiki kwa mmili wake.

Baadhi ya mambo yaliyoelezwa ndani ya kitabu hiki ni pamoja na Misingi ya Ujasirimali iletayo faida, biashara ndogondogo vs Ujasiriamali, Mitego ya Utegaji pesa katika Ujasiriamali, Jinsi ya kugundua na kuzifanyia kazi fursa za kiujasiriamali na mengineyo mengi... For more info call: 0657645765 

More Products On Discount
No other products from this category
Best Sellers List
Best Seller
200 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

Best Seller
10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PIUS JUSTUS

Best Seller
25,000 Tsh.
(3.6)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
1,000 Tsh.

Sold by: Gaston Ngailo

GetValue Recommendations
Old is Gold