MGONJWA 10 HATARI YA NGONO
1.UTANGULIZIrnrnKabla ya yote kabisa, ningependa kueleza vitu kadhaa ambavyo imekuwa ni changamoto kwa watu wengi. Wengi wetu tunashindwa kutofautisha kati ya magonjwa fulani na magonjwa mengine, kwa mfano UTI na magonjwa ya zinaa, japo yapo mahusiano fulani. Kabla ya haya magonjwa kumi kuanza kuyaelezea, unatakiwa tambua; rnrn• UTI NI NINI? Au (Urinary Tract Infection) ni nini? rn• MATUMIZI NA FAIDA ZA KUTUMIA CONDOM.rn• STI NI NINI? Au (Sexual Transmision Infection) ni nini? rnrnKwenye kitabu hiki utajifunza mwenyewe ukiwa nyumbani, hasa kwa mtu ambae ameshaanza mahusiano au kwa mtu anaetegemea kuingia kwenye mahusiano. Kitabu hiki kitakupa maandalizi mazuri kuyajua madhara au maradhi unayoweza kupata kupitia mahusiano ya kingono.rnrnWatu wengi wanashindwa kujua kwamba wanaweza kuanzia wapi baada ya wao kuwa wamepata maambukizi ya maradha mbalimbali hasa haya yanayohusisha matatizo ya sehemu za siri.
rnrn
1.UTANGULIZI
rnrnrnrn
Kabla ya yote kabisa, ningependa kuelezarnvitu kadhaa ambavyo imekuwa ni changamoto kwa watu wengi. Wengi weturntunashindwa kutofautisha kati ya magonjwa fulani na magonjwa mengine, kwa mfanornUTI na magonjwa ya zinaa, japo yapo mahusiano fulani. Kabla ya haya magonjwarnkumi kuanza kuyaelezea, unatakiwa tambua;
rnrnrnrn
· rnUTIrnNI NINI? Au (Urinary Tract Infection) ni nini?
rnrn· rnMATUMIZIrnNA FAIDA ZA KUTUMIA CONDOM.
rnrn· rnSTIrnNI NINI? Au (Sexual Transmision Infection) ni nini?
rnrnrnrn
Kwenye kitabu hiki utajifunza mwenyewernukiwa nyumbani, hasa kwa mtu ambae ameshaanza mahusiano au kwa mtu anaetegemearnkuingia kwenye mahusiano. Kitabu hiki kitakupa maandalizi mazuri kuyajuarnmadhara au maradhi unayoweza kupatarnkupitia mahusiano ya kingono.
rnrnrnrn
Watu wengi wanashindwa kujua kwamba wanawezarnkuanzia wapi baada ya wao kuwa wamepata maambukizi ya maradha mbalimbali hasarnhaya yanayohusisha matatizo ya sehemu za siri.
rnrn