• Call us +255 717 568 861

Your Basket

Checkout | Shopping Cart
darasa la kuandika ebook za biashara na ujasiriamali || GetValue Inc

DARASA LA KUANDIKA EBOOK ZA BIASHARA NA UJASIRIAMALI

DARASA LA KUANDIKA EBOOK ZA BIASHARA NA UJASIRIAMALI

Swali: Hivi "E-Book" ina maanisha nini?

.

.

Jibu: Wengi wamekuwa wakiuliza maana ya eBook, kwa sababu ni Jina lililoanza kuwa Maarufu sana hapa nchini kwetu katika kipindi cha #corona. 

.

.

EBook ni kifupi cha "Electronic Book", Yaani Kitabu cha Kielektroniki. 

.

.

Sifa kubwa ya kitabu cha namna hiyo ni kwamba unaweza kukisoma kupitia Kompyuta yako, Simu ya mkononi, na kadhalika. 

.

.

Ikiwa na maana kwamba, mtu anaweza kukigeuza kitabu chake cha "hard copy" na kukiweka katika eBook ili kuweza kuwafikia Wasomaji wengi zaidi kulingana na mahitaji yao. 

.

.

Kitabu hicho kinaweza kuwa na muonekano ule ule, Au kikaongezewa baadhi ya vitu ili kumwezesha Mtu kukisoma kwa Urahisi zaidi bila kuumiza macho au kupoteza shauku.

.

.

Je! Unapenda kukiuza kitabu chako kwa Njia ya eBook au Kujifunza namna kuandika #ebook yako ya biashara na Ujasiriamali?

.

.

Tumekuandalia "Darasa la Kuandika EBook za Biashara na Ujasiriamali"


...Litakaloanza tarehe 23/10/2020 kwa Siku Kumi.


Je, unapenda kuwepo daràsani?


Tutumie utayari wako kupitia nambari 0764793105 WhatsApp. 


Au BOFYA hii LINK hapa chini:


https://wa.me/message/SMIWVZOMAE3DH1NAFASI Zipo chache sana.

WAHI YA KWAKO MAPEMA. 


Kama Una Swali, ULIZA - Ili tukusaidie kuyafikia Malengo yako kwa Wakati. 

.

.

FOLLOW 

https://Instagram.com/lamaxdesigns/


@lamaxdesigns @lamaxdesigns @lamaxdesigns @lamaxdesigns.

Ratings: (0) Leave a Comment

You must login to post your comment.

Post Posting...