JINSI YA KUMSHIRIKISHA MUNGU KATIKA BIASHARA YAKO
 
							
Kitabu hiki kinagusa mambo mbalimbali yahusuyo biashara kama vile wazo la biashara,soko,eneo,ubunifu Katika biashara,wasaidizi/wafanyakazi,Dhamira na Ulinzi kwenye biashara.
Pia kwa Kila kipengele kuna OMBI ambalo litakuongoza kumuomba Mungu Ili uweze Kufanikiwa Katika kipengele hicho.
 +255 717 568 861
                            +255 717 568 861
                         Android App
 Android App IOS App
 IOS App 
                             
                                         
                                         
                                                            
                                                         WINNIEMARY ERASTO
									 WINNIEMARY ERASTO								 
    			    		






