Your Basket

Checkout | Shopping Cart
mafunzo ya siku tatu sehemu 26 zinazounda kitabu || GetValue Inc

MAFUNZO YA SIKU TATU SEHEMU 26 ZINAZOUNDA KITABU

MAFUNZO YA SIKU TATU SEHEMU 26 ZINAZOUNDA KITABU

SEHEMU 26 ZINAZOUNDA KITABU.
Mafunzo ya siku tatu | 27 - 29/11/2023
Hili ni darasa la lazima kama unapenda kujifunza uandishi wa vitabu KWA SABABU
1. Utajua sehemu zinazounda kitabu
2. Utajua kitabu kinakamilishwaje
3. Utajua kila sehemu ya kitabu inaandikwaje
4. Utaweza kuandika kitabu kwa mtiririko unaotakiwa

Ratings: (0) Leave a Comment

You must login to post your comment.

Post Posting...