Your Basket

Checkout | Shopping Cart
siri mpya uuzaji wa vitabu kwa njia ya e-book || GetValue Inc

Siri Mpya: UUZAJI WA VITABU KWA NJIA YA E-BOOK

Siri Mpya: UUZAJI WA VITABU KWA NJIA YA E-BOOK

Je Unalijua kwamba Ukiwa na kitabu chako katika mfumo wa E-Book (Electronic Book), Unaweza kuwauzia Wateja wako wakiwa popote pale Duniani ?


Kama Hulijui, basi lijue kuanzia sasa. 


Na raha yake ni kwamba...


I. Inakupunguzia Usumbufu. 


Yaani, ni Wewe tu kuwaonesha Wateja mahali pa kujipakulia kitabu chako, badala ya kuhangaika na kondakta au dereva wa Basi anayekusafirishia Vitabu kwenda kwa Wateja waliyopo mbali.


II. Faida zaidi. 


Yaani, pesa ambayo ungeitumia kuchapia vitabu ili viwe vya nakala Ngumu (hardcover), yote  inabaki kwako.


Pesa ambayo ungeitumia kusambaza Vitabu vyako kwenda kwenye maduka ya vitabu (BookShops, Bookstores) mbalimbali, yote inabaki kwako.


III. Unawafikia Wateja wengi kwa wakati mmoja na kwa haraka zaidi.


Badala ya mteja wa Kenya kusubiria kwa Siku kadhaa kitabu chako kumfikia kutoka hapo Ulipo, kwa eBook anaweza akakipata ndani ya dakika Tatu Tu au chini ya hapo.


Kwa namna hiyo, Unaweza ukawafikia Wateja wako wote waliyopo Tanzania, Afrika Mashariki au Afrika kwa wakati mmoja. Yaani, chap chap Tu bila 'stress'.


IV. Uhuru zaidi.


Kwa eBook Unaweza ukafanya Marekebisho kadhaa fasta na kuki_upload tena Mtandaoni bila kugharamika zaidi kipesa. 


Ila kwa Vitabu vya 'hardcover' itakubidi uchape tena vitabu vingine kwa Gharama nyingine, na ikibidi unaweza kupata hasara kwa kuchoma Vitabu vilivyovitoa kimakosa.


Umeelewa mpaka hapo?


Sasa, Habari Njema ni kwamba...


@lamaxdesigns @lamaxdesigns Tumejipanga vizuri kuhakikisha kitabu chako kinakuwa EBook; kumwezesha mteja wako kukisoma kwa Uzuri na kwa Urahisi zaidi kupitia Simu Yake ya mkononi au laptop.


Na wala hatuishii hapo...


Tunakuunga kwenye system yetu itakayokuwezesha kuuza eBook yako kwa usalama zaidi bila mtu kuweza kushea Bure kwa wenziye Mtandaoni, wala ku_SCREENSHOT, wala kukiprint. (Tunakuunga kwenye system yetu BURE kabisa).


Leta kitabu chako siku hii ya Leo, Uwe miongoni mwa Waandishi bora wenye kazi bora katika karne hii.


Hutajuta kufanya kazi Yako nasi. 


Kazi Isipokuridhisha, utarudishiwa Gharama zako zote bila longolongo. 


Tuma taarifa za kitabu chako kupitia +255764793105 WhatsApp.


Kumbuka: Wajanja wote huwahi.

Ratings: (0) Leave a Comment

You must login to post your comment.

Post Posting...