Best Seller
Ndoa Ni Paradiso
Price:
10,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Dec 14, 2023
Product Views:
1,314
Sample
Ndoa Ni Paradiso
Dunia ya sasa imekuwa na mambo mengi, haswa kwenye idara ya ndoa. Ndoa nyingi zimekosa utulivu katika familia zao. Wanandoa kushidwa kujiweka sawa, na wanandoa kushindwa kutimiza wajibu wao wenyewe kwa mwenyewe, kushindwa pia kutambua kuwa ndoa ni taasisi iliyoazishwa na Mungu mwenyewe. Na waasisi wa ndoa ni Baba na Mama ndio mwenye mamlaka ya kuamua waishije katika ndoa /Familia yao. (Mwanzo 2:18-25) Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza