Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jifunze Uandishi Wa Vitabu Kwa Njia Rahisi Kozi Nzima - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

Jifunze Uandishi Wa Vitabu Kwa Njia Rahisi: Kozi Nzima

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
30,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 13, 2022
Product Views:
842
In category:
Sample

Kitabu hiki Kimebeba Kozi Nzima Ya Jinsi Unavyoweza kuandika vitabu kuanzia mwanzo mpaka mwisho hata kama haujawahi kuandika kitabu chochote. Na pia kinakuonesha hatua kwa Jinsi utakavyouza vitabu vyako baada ya kuvitoa ili usiteseke kama waandishi wengine waliokutangulia.

KUPITIA HIKI KITABU UTAJUA...

  1. Uandike nini ndani ya kitabu chako
  2. Uandike wakati gani na kwa staili gani
  3. Jinsi ya kupata Mawazo (bora) endelevu ya kuandika kwenye kitabu chako ili usiishie kutoa kitabu kimoja (pekee), bali uendelee kutoa vitabu vingine vingi
  4. Jinsi ya kupangilia Wazo lako na Kitabu chako kuanzia mwanzo mpaka mwisho kwa Namna itakayomvutia Msomaji wako
  5. Jinsi utakavyoweza Kuuza kitabu chako mtandaoni na nje ya mtandao tofauti na Waandishi wengine waliokutangulia
  6. Njia utakazotumia kuuzia kitabu chako, pamoja na mambo unayopaswa kuyaepuka ili uepukane na Hasara nilizozipata (Lackson Tungaraza) mwanzoni mwa safari yangu ya uandishi wa vitabu

Na mengine mengi.

Yaani, unapata Full Package (kozi nzima ya uandishi wa vitabu)

JE UPO TAYARI KUWA NA HIKI KITABU (eBook) kwenye maktaba yako ya vitabu kwa OFA YA LEO ya Tsh.30,000 badala ya Tsh.50,000 (kwa punguzo la 60%)

BOFYA sasa hivi button ya BUY NOW hapo juu kujipatia hiki kitabu ndani ya sekunde 2 tu baada ya kukilipia kwa njia ya simu au benki.

HII NI OFA YA LEO TU. IKIPITA, GHARAMA INAREJEA KWENYE elfu 50.

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,000 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold