Kijana Na Umaarufu: Kuna Raha Ya Kuwa Maarufu
Price:
Discount Code : B39548m
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 08, 2020
Product Views:
2,946
Sample
Kuna Raha ya Kuwa Maarufu
Ndani ya CD hii kuna SIRI KUBWA SANA ya kukusaidia wewe ambaye…
Unataka kuwa na Jina Jema na Sifa Njema – Personal Branding
Unataka kubarikiwa na Mungu – Ikiwa ni pamoja na kujua Mbinu na Mchakato ambao Mungu anautumia Kuwabariki Watu wake
Unataka kujua Siri ambayo Mungu huitumia Kuwainua na Kuwabariki tena na tena baadhi ya watu, huku wengine wengi wakiendelea Kuomba sana bila ya kupata Mabadiliko Chanya
Ndani ya Saa Moja (dakika sitini) zilizoshiba ndani ya hili somo, hutabaki kama ulivyo sasa. Mabadiliko Chanya yatakuwa halali yako katika kila upande wa maisha yako.
Mkufunzi: LACKSON TUNGARAZA
Sold by: Lackson Tungaraza
Sold by: Lackson Tungaraza