Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Jinsi Ya Kukwepa Deni La Sponsored Ads Facebook Na Instagram - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

Jinsi Ya Kukwepa DENI La Sponsored Ads Facebook Na Instagram

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
10,000 Tsh.
Added To Cart:
0
Added to shop:
Sep 13, 2022
Product Views:
1,334
In category:
Sample

Hii PDF inakuonesha Jinsi Unavyoweza Kukwepa (KUFUTA) DENI lako la Sponsored Ads Facebook na Instagram bila Kutumia Pesa Zako

Je umekuwa ukilipia matangazo ya Sponsored ads Facebook na Instagram kwa muda mrefu, lakini sasa hivi umekwama kwa sababu ya DENI KUBWA UNALODAIWA kwenye account yako ya Facebook au Instagram?

Kila unapotaka kurusha Tangazo jingine, utaambiwa ulipe kwanza Deni unalodaiwa?

USIENDELEE KUUMIA

DAWA IMEPATIKANA.

Kupitia hii PDF iliyojaa hatua zote muhimu utakwenda KUKWEPA Deni lako UNALODAIWA kwenye account yako.

Hatua zote unazotakiwa kuzipitia KUKWEPA DENI zimeoneshwa na kuelezewa kwa lugha rahisi.

Kazi yako ni ndogo Tu, kuzifuata kama zilivyoandikwa Bila kuruka hata moja.

Baada ya hapo utaendelea kutumia account yako HIYOHIYO kurusha matangazo ya Sponsored ads KAMA VILE HAUJAWAHI KUDAIWA.

___________________

Sasa, pengine unajiuliza jinsi ya kupata hii PDF

Usiwe na shaka

Hii PDF unaipata kwenye Smartphone Yako moja kwa moja kupitia kwenye hii system yetu

.....Kwa Ofa ya Tsh.10,000 tu SIKU YA LEO, badala ya Tsh.30,000.

Kwa nini Tsh.10,000 badala ya hiyo 30,000? Ni kwa sababu kubwa moja tu, nataka uwe miongoni mwa wafanyabiashara 100 niliowasaidia kuendelea kusponsor matangazo yao Facebook na Instagram licha ya madeni makubwa yanayowatesa kwenye account zao.

___________________

Ikiwa upo tayari kukwepa MADENI YAKO YOTE Siku ya Leo ili uendelee kusponsor matangazo yako kama kawaida, BONYEZA button ya BUY NOW hapo juu kufanya malipo na kupata PDF yako ndani ya sekunde 2 tu!

___________________

ZINGATIA; Kwa kadri Unavyoendelea kuchelewa kufanya maamuzi ndivyo unavyojichelewesha kuongeza wateja na Mauzo kwenye biashara yako kupitia kusponsor matangazo yako Facebook na Instagram... na pia utakuja kuipata hii PDF kwa gharama ya juu zaidi, Tsh.30,000 badala ya Tsh.10,000 hii ya Leo ya ofa.

HII NI OFA YA LEO TU. CHUKUA HATUA MAPEMA KABLA HAIJAPANDA TENA kuwa elfu 30. 

BONYEZA button ya BUY NOW hapo juu kufanya malipo na kupata PDF yako ndani ya sekunde 2 tu!



BY LACKSON TUNGARAZA

Mwandishi wa hiyo PDF, na

Muasisi wa @lamaxdigitalworld

 

 

 

 


More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

10,000 Tsh.
(0.8)

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold