Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Sitarudi Nyuma Tena Jinsi Unavyoweza Kukabiliana Na Changamoto Za Ujanani Na Kuweza Kuifikia Hatma Yako - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali
Best Seller

Sitarudi Nyuma Tena: Jinsi Unavyoweza Kukabiliana Na Changamoto Za Ujanani Na Kuweza Kuifikia Hatma Yako

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
15,000 Tsh. 10,000 Tsh.
Discount Code : B99469h
Added To Cart:
0
Added to shop:
Jun 08, 2020
Product Views:
4,150
In category:
Sample

Kitabu hiki kinakuonesha Jinsi unavyoweza kukabiliana na Changamoto za Ujanani na kuweza Kuifikia Hatma Yako

Kitabu hiki kimekuja kukusaidia wewe kijana wa kike na wa kiume kujua hatua Rahisi unazoweza kutumia kupambana na Changamoto za kila siku katika Maisha yako ili mwisho wa siku uweze kuishi maisha uliyopangiwa na Mungu, na kisha kuifikia Hatma yako (Your Life Destiny).


Huna haja ya kuendelea kuteswa na Ibilisi, Nguvu za giza, Wakaka au Wadada wasiyofaa, Umaskini wa familia na Ukoo, Utandawazi, na mengine... kwa sababu kitabu hiki kimeandikwa kwa ajili yako wewe.


Kimesheheni zaidi ya 80% ya Majibu ya Changamoto zako za kila siku.


Kimekwisha kuwasaidia maelfu ya Vijana wenzio tangu kilipozinduliwa mwaka 2017 jijini Dodoma, na sasa ni Zamu Yako.


Endapo hutavushwa kimaisha na hiki kitabu, basi una haki ya kudai kurejeshewa Pesa yako yote.


Hivyo, Usipoteze Muda. Jichukulie kitabu hiki sahivi kabla hakijatolewa mtandaoni au gharama yake kupanda.

[Kitabu kina kurasa 92 Zilizoshiba]


P.S: Endapo utajipatia kitabu hiki ndani ya Saa 24 za Leo, basi utapata na Zawadi nyingine ya kitabu cha Bure kabisa, kitakachoendelea kukunoa zaidi. (Kitabu chenye Thamani ya shilingi 5000+), pamoja na USHAURI wa BURE juu ya Ndoto zako za kimaisha (kwa Mwezi Mmoja).


BOFYA KITUFE CHA \\\\\\\\\\\\\\\"BUY NOW\\\\\\\\\\\\\\\" HAPO JUU - KUJIPATIA KITABU CHAKO SAHIVI

More Products On Discount
7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

30,000 Tsh. 20,000 Tsh.

Sold by: Lackson Tungaraza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Martin Tindwa

More Products From This Seller
Best Sellers List
Best Seller
10,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PASTOR TONY OSBORN

GetValue Recommendations
Old is Gold