Your Basket

Checkout | Shopping Cart
Siri Ya Mafanikio Ya Elimu Ya Msingi Katika Jiji La Arusha - GetValue
Biashara & Ujasilimia Mali

SIRI YA MAFANIKIO YA ELIMU YA MSINGI KATIKA JIJI LA ARUSHA

0
0
  • 5
  • 4
  • 3
  • 2
  • 1
Price:
15,000 Tsh.
Vendor:
Added To Cart:
0
Added to shop:
Feb 26, 2022
Product Views:
1,850
In category:
Sample

Siri ya Mafanikio ya Elimu ya Msingi katika Jiji la Arusha Mwaka 2015-2020 ni kitabu kinachoeleza siri 21 zisizosemwa zinazochochea ubora wa ufaulu kitaifa Mtihani wa Darasa la Saba na Upimaji wa Darasa la Nne 2018-2020. Kitabu hiki ni hazina ya kutambua shule bora za msingi katika Jiji la Arusha. Aidha, kitabu hiki kinakufungulia milango ya kutitambua Jiji la Arusha.

Mwandishi wa Kitabu hiki ni Mwalimu Hassan A. Hassani ambaye mtaalamu\\r\\nwa elimu. Alizaliwa katika Mkoa wa Lindi, nje kidogo ya Manispaa ya Lindi. Mwandishi mwaka 2008 alijiunga na masomo ya Shahada ya awali ya Sanaa na Ualimu katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam na kuhitimu mwaka 2011. Hata hivyo, mnamo mwaka 2012 Mwandishi alijiunga na Chuo Kikuu Huria Tanzania kwa masomo ya\\r\\nShahada ya Uzamili ya Usimamizi wa Rasilimali Watu na kuhitimu mwaka 2014.

Mpaka kitabu hiki kinachapishwa Mwandishi ni Ofisa Elimu Vifaa na Takwimu katika Halmashauri ya Jiji la Arusha. Hiki ni kitabu cha pili kukiandika ambapo kitabu chake cha kwanza ni riwaya iitwayo “Kwaheri” ambayo imeidhinishwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuwa kitabu cha ziada kwa wanafunzi wa sekondari nchini Tanzania.

Ukiniuliza umeifanyia nini dunia? Nitakujibu nimechonga kalamu yangu,\\r\\nnimeiandikia historia Halmashauri ya Jiji la Arusha, historia ya taaluma. Natambua bayana ya kwamba binadamu ni mwanafunzi katika historia ya maisha yake\\r\\nyote. Binadamu hukoma kujifunza mara anapokikabili kifo na kutii.

Lengo  la kitabu hiki ni  kuhifadhi historia adhimu ya jiji hili kufuatia mafanikio makubwa ya kielimu yaliyopatikana kwa mwaka 2018 na 2020 ambapo Halmashauri hii iliongoza kitaifa kwa Ubora wa ufaulu katika Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (PSLE) na Upimaji Wa Kitaifa Wa Darasa La Nne (SFNA). Sambamba na hilo kuwatia moyo mashujaa walioifikisha kileleni halmashauri, kilele cha taaluma. Kwa hakika aonaye baridi ndiye hufuata moto. Arusha Jiji kuna moto, moto wa taaluma, karibu ujifunze. 

More Products On Discount
10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

6,000 Tsh. 5,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 7,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

10,000 Tsh. 9,000 Tsh.

Sold by: Godius Rweyongeza

7,000 Tsh. 2,999 Tsh.

Sold by: Said Maumba

Best Sellers List
Best Seller
1,000 Tsh.
(5.4)

Sold by: Gaston Ngailo

Best Seller
10,000 Tsh.
(69.8)

Sold by: Samuel Macha

Best Seller
3,000 Tsh.
(16.4)

Sold by: ABDULKADIR MASSA

Best Seller
10,000 Tsh.

Sold by: PETER TARIMO

Best Seller
4,500 Tsh.

Sold by: Mashaka Khamis

GetValue Recommendations
5,000 Tsh.

Sold by: Denis Mpagaze

10,000 Tsh.
(1)

Sold by: PJ PROJECTS

12,000 Tsh.

Sold by: Germano Mbelwa

5,000 Tsh.

Sold by: Sabas Patrick

25,000 Tsh.

Sold by: PJ PROJECTS

Old is Gold